Mbowe na Wenzake Wakwama Mahakama Kuu....Wakili Wao Kukata Rufaa

Mahakama  Kuu  ya Tanzania imetupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na viongozi tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya  kupitia, kuitisha na  kuchunguza kumbukumbu za mwenendo wa kesi namba 112, iliyofunguliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ili kujiridhisha na usahihi na uhalali wa amri zilizotolewa. Shauri hilo lilisikilizwa na Jaji Rehema Sameji,...
Read More

No comments:

Post a Comment