MBUNGE JOSHUA NASSAR ASEMA KONGAMANO LILILOANDALIWA NA RAIS OBAMA LINAMANUFAA KWA VIONGOZI VIJANA BARANI AFRIKA

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Joshua Nassar akizungumzajambo na Rais Mstaafu wa Marekani ,Barack Obama walipokutana nchini Afrika Kusini akiwa ni miongoni mwa Viongozi vijana 200  kutoka mataifa 44 ya Afrika waliochaguliwa kushiriki Programu ya  OBAMA AFRICA LEADERS PRORAM.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Joshua Nassar kwa pamoja na Rais Mstaafu wa Marekani ,Barack Obama wakiwajibika kwa kufanya kazi za mikono katika kuboresha miundombinu ya shule ya Far North School iliyopo pembezoni mwa jiji la Johannesburg nchini Afrika Kusini.

No comments:

Post a Comment