Mfalme Mswati wa swaziland ametuma mswaada bungeni kuhusu kutungwa kwa sheria mpya kwa raia kutoka nje ya nchi hiyo kulipa kodi watakapofunga ndoa na wanawake nchini Swaziland kwa kutozwa kiasi cha 30,000 lilangeni ( dola 2,200) . Mfalme Mswati ametuma mswaada huo bungeni huku akidai kuwa sheria hiyo ni kwa ajili ya kuwalinda wanawake nchini humo. “ Lengo la sheria hii ni kuwalinda wanawake...
No comments:
Post a Comment