Baraza la Sanaa nchini (Basata) limefafanua umuhimu wa kibali ambacho msanii Diamond alipaswa kuwa nacho kabla ya kwenda kufanya shoo nje ya nchi. Haya yameelezwa jana Julai 27 baada ya Diamond kuzuiwa kwa saa tisa katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kutokana na kutokuwa na kibali hicho alipokuwa akielekea visiwa vya Madagascar na Mayote. Kaimu Katibu Mkuu wa Basata, ambaye...
No comments:
Post a Comment