Wamarekani Watatu Watiwa Mbaroni Uwanja wa Ndege Wakiwa na Madawa ya Kulevya

Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imemkamata raia wa Marekani, Loniel Royford (63) kwa tuhuma za dawa za kulevya kilo 2.18 aina ya heroin. Kamishna wa operesheni, Frederick Milanzi amesema Royford alifika Juni 29 akijitambulisha kama mtalii lakini alitiliwa shaka wakati anaondoka nchini Julai 4. “Tulimtilia shaka, mtalii amekuja na kukaa siku chache, yaani Juni 29 na...
Read More

No comments:

Post a Comment