Baada ya mwanamuziki Diamond Platnumz kualika watu takribani 50 kuuhudhuria sherehe ya kuzaliwa mtoto wake Tiffah, mzazi mwenzake, Zari Hassan amepiga marufuku ugeni huo. Awali Diamond aliahidi kuwalipia tiketi watu 30 kwaajili ya kuhudhuria sherehe hizo lakini baadaye aliongeza kuwa atawalipia watoto 10 pamoja na wazazi wao ili nao wahudhurie sherehe hizo. Katika kunogesha sherehe...
No comments:
Post a Comment