Kenya wapiga ‘stop’ Vigae Vya Tanzania

Nchi ya Kenya imezuia uingizwaji wa vigae  vinavyotoka Tanzania hali iliyosababisha kudorola kwa soko hilo nchini. Hayo yalisemwa jana na Msafiri Figa Meneja Uajiri kutoka kiwanda kinachozalisha vigae cha Goodwill Tanzania Cerami co. Ltd kilichopo Mkiu, wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani.   Alisema ,walikuwa wakitegemea soko la Kenya zaidi kutokana na kupata oda nyingi kutoka kwa wafanyabiashara...
Read More

No comments:

Post a Comment