Mbowe Na Vigogo Wengine CHADEMA Waiomba Mahakama ya Kisutu Isitishe Kusikila Kesi Yao

Viongozi 9 wa Chadema akiwemo mwenyekiti wao, Freeman Mbowe wamewasilisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu maombi ya kuomba kesi yao ya jinai namba 112/2018 kuahirishwa hadi rufaa yao itakaposikilizwa na kutolewa uamuzi. Pia, wameomba kesi hiyo iahirishwe hadi maombi yao ya kutaka kesi iliyopo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu isitishwe usikilizwaji wake hadi hapo rufaa yao itakaposikilizwa...
Read More

No comments:

Post a Comment