Joyce Rwehumbiza cottrell amefiwa na mpendwa mume wake Robert Cottrell, msiba umetokea Jumapili Aug 26, 2018 majira ya saa 2 asubuhi kwa saa za Arizona hapa MD ilikua ni saa 5. alipokua amekwenda kwa matibabu.
Kama ilivyo ada kupeana pole ndio mila na desturi yetu. Wapi msiba utakuwepo tutataarifiwa baadae mpaka mfiwa atakaporudi Maryland, kwa sasa tunaweza kumshika mkono ndugu yetu Joyce Rwehumbiza Cottrell katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa mume wake kupitia CashApp ya Theckla Mwesiumo Kessy # (443) 518-6446
BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE
No comments:
Post a Comment