Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla leo Jumamosi Agosti 4, 2018 amepata ajali eneo la Magugu mkoani Manyara na kupata majeraha sehemu mbalimbali mwilini. Katika ajali hiyo ofisa habari wa wizara hiyo, Hamza Temba amefariki dunia. Mwenyekiti wa jumuiya ya hifadhi ya jamii ya Wanyamapori ya Buruge (WMA), Ramadhan Ismail amesema waziri huyo anapatiwa matibabu katika kituo...


No comments:
Post a Comment