Wakili Kesi Ya Mbowe na Vigogo Wengine CHADEMA Ajitoa

Wakili Jeremiah Mtobesya, anayewatetea viongozi tisa wa Chadema akiwamo Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, amejitoa katika kesi hiyo baada ya mahakama kukubaliana na upande wa jamhuri kwamba washtakiwa wasomewe maelezo ya awali leo wakati leo kesi ilipangwa kwa ajili ya kutajwa. Amedai akiendelea kuwatetea washtakiwa hao, haki haitatendeka. Wakili huyo alijitoa kuwatetea washtakiwa hao mara baada...
Read More

No comments:

Post a Comment