Alichokisema Mgombea wa CHADEMA Baada ya Kushindwa Ubunge Jimbo la Ukonga

Aliyekuwa Mgombea Ubunge wa (CHADEMA) jimbo la Ukonga Asia Msangi ametoa kauli yake ya kwanza kuwa alitegemea kushindwa uchaguzi huo. Asia Msangi ameeleza alipokea taarifa kuwa angeshindwa uchaguzi huo kutoka kwa wapiga kura wake kwa kile alichokidai kuhujumiwa katika baadhi ya vituo vya kura ikiwemo kuzuiliwa kwa mawakala wake huku zoezi la kupiga kura likiwa linaendelea. “…ulimwengu wote...
Read More

No comments:

Post a Comment