Breaking: CHADEMA Watangaza Kususia Chaguzi Zote

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetangaza kujiondoa Rasmi kushiriki chaguzi ndogo zote zilizotangazwa kufanyika hivi karibuni na chaguzi zozote zitakazofuata zinazosimamiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa madai kwamba tume hiyo inafanya kazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mbowe amesema hayo leo Septemba 19, 2018 alipokuwa akiwasilisha uamuzi wa kamati ndogo ya Kamati Kuu...
Read More

No comments:

Post a Comment