Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Waziri wa Ujenzi Mhandisi Isaack Kamwele hadi sasa miili 209, imeopolewa na watu 41 wameokolewa wakiwa hai katika ajali ya kivuko cha Mv Nyerere kilichozama katika ziwa Victoria eneo la Ukara Ukerewe. Waziri Kamwele amesema Miili 172 imetambuliwa, 37 haijatambuliwa, 112 imeshachukuliwa na ndugu kwa ajili ya mazishi na uokoaji bado unaendelea...
No comments:
Post a Comment