Mgombea Chadema kupiga kura Kitunda Relini

Mgombea Ubunge wa Chadema Jimbo la Ukonga, Asia Daudi Msangi anatarajiwa kupiga kura yake katika kituo cha Kitunda Relini, Shule ya St. Lawrence chana huu. Mgombea huyo anawania Ubunge wa Jimbo la Ukonga huku akichuana vikali na Mwita Waitara kutoka CCM. Matokeo ya Uchaguzi huo yamepangwa kutangazwa katika kituo cha Anatogro....
Read More

No comments:

Post a Comment