Mgombea CHADEMA Ukonga ahofia kutekwa

Mgombea ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Ukonga jijini Dar es salaam Asia Msangi amesema miongoni mwa changamoto anazokutana nazo kuelekea uchaguzi wa marudio jimbo hilo utakaofanyika siku ya jumapili ya  septemba 16, ni hofu ya kutekwa na watu wasiojulikana. Akizungumza katika kituo cha EATV leo, mgombea huyo wa CHADEMA amesema kupitia viongozi wa juu wa chama...
Read More

No comments:

Post a Comment