Rufaa ya viongozi wa Chadema iko njia panda baada ya Mahakama ya Rufani kuhoji uhalali wa taarifa ya kusudio la kukata rufaa hiyo ambayo ndiyo msingi wa rufaa yenyewe.Mahakama hiyo imehoji uhalali wa taarifa hiyo ya kusudio la kukata rufaa leo wakati rufaa hiyo ilipoitwa kwa ajili ya usikilizwaji baada ya kubaini upungufu kwa kutokueleza asili ya amri au uamuzi ambao wanaukatia rufaa.Katika rufaa...
No comments:
Post a Comment