Waliofariki Kwa Ajali Jijini Mbeya Wafika 15

Idadi ya watu waliofariki dunia katika ajali iliyohusisha magari matano eneo la Mlima Igawilo jijini Mbeya imefikia 15.  Muuguzi Mkuu wa Hospitali  ya Rufaa Kanda ya Mbeya, Dk Petro Seme, alisema jana walipokea majeruhi 15 wa ajali hiyo lakini wawili walifariki wakati wakiendelea kupatiwa matibabu. Alisema majeruhi wanne walitibiwa na kuruhisiwa na wengine wanaendelea na matibabu. “Pia...
Read More

No comments:

Post a Comment