Watanzania kokote pale mlipo , mwenzetu Joshua Mzuma amekutwa amefariki asubuhi ya siku ya Ijumaa Sept 7, 2018 Washington, DC alipokua akiishi na kuendelea na shughuli zake za kila siku, ndugu yetu alipolala Alhamisi. Ijumaa asubuhi hakuiona tena, ni msiba mkubwa kwa waTanzania wote, tunaomba tushikamane tuweze kuchangishana chochote tutakachoweza kuwezeshe kumsafirisha mwenzetu nyumbani Tanzania na hatimaye apunzike kwenye nyumba yake ya milele.
Fuatilia hiyo bofya hapo chini usaidie kadri utakavyoweza
*Au unaweza tumia CashAap Martina 312 493-7126*
Famili inatanguliza shukrani na pale ulipopunguza Mwenyezi Mungu akuzidishie mara mbili yake.
Kwa taarifa zaidi wasiliana na
Joseph +255 62 280 2446
Mary 678 472-6320
Martina 312 493-7126
Oscar 765 276-7587
Helena 667 200-6196
Kangalage 773)658-3503
Dj Luka 301 661 6696
Garry 845 807-3413
Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe
No comments:
Post a Comment