Napenda kuwataarifu kuwa hivi karibuni, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeanzisha utoaji wa huduma za tiba radiolojia(interventional radiology)inayohusisha utaalam wa kutumia vifaa vya radiolojia kama MRI, CT-Scan, Ultra-Sound na X-RAY kutibu moja kwa moja au kuchukua sampuli kwa ajili ya uchunguzi. Tayari tumeanza kuondoa uvimbe kwenye sehemu ya kinywa, uso na shingoni (sclerotherapy forhaemangioma...
No comments:
Post a Comment