Zari Achafua Hali ya Hewa Instagram......Ni Baada Ya Baada ya Kumwandikia Ujumbe wa Dharau na Kuwaita Wanae KIMA

Leo ni siku ya kuzaliwa kwa muimbaji Diamond Platnumz, watu wake wa karibu, ndugu, marafiki na mashabiki wamekuwa wakimtumia salamu za kheri kwenye siku yake hiyo muhimu. Ujumbe wa Zari The Bosslady ulikuwa ukisubiriwa sana mara baada ya Diamond kumuandika ujumbe mzuri sana mrembo huyo siku kadhaa zilizopita kwenye Birthday licha ya kuachana kwao. Sasa Zari The Bosslady ametumia ukurasa wake...
Read More

No comments:

Post a Comment