Aliyekuwa Mkurugenzi NIDA Afikishwa Mahakamani Tena

Aliyekuwa  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho (NIDA), Dickson Maimu na wenzake sita leo Jumanne Januari 29, 2019 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Maimu na wenzake hao jana Jumatatu Januari 28, 2019 walifutiwa mashtaka na mahakama hiyo lakini muda mfupi baadaye washtakiwa hao walikamatwa tena na polisi. Wamefikishwa mahakamani hapo leo asubuhi na kupelekwa...
Read More

No comments:

Post a Comment