Bosi wa Zamani TRA na Wenzake wapandishwa upya kizimbani na Kusomewa Mashitaka 58

Aliyewahi kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya na wenzake wanne wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kujibu mashtaka mapya 58, yakiwemo ya utakatishaji wa fedha na kujihusisha na mtandao wa uhalifu. Wakili wa Serikali Mkuu, Hashimu Ngole akisaidia na Pendo Makondo na Patrick Mwita, amedai leo Ijumaa Januari 11, 2018, mbele...
Read More

No comments:

Post a Comment