Freeman Mbowe ni Mgonjwa.... Ashindwa Kufika Mahakamani

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, leo Alhamisi, Januari 17, 2018 ameshindwa kabisa kufika katika Mahakama ya Kisutu kwa sababu zilizoelezwa kuwa ni mgonjwa. Wakili wa Serikali mwandamizi, Patrick Mwita ameeleza hayo, mbele ya hakimu mkazi mkuu, Wilbard Mashauri wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kutajwa ambapo amedai kuwa shauri hilo wanasubiri maamuzi...
Read More

No comments:

Post a Comment