Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa rufaa ya kupinga dhamana iliyokatwa na upande wa mashtaka dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko itaanza kusikilizwa Februari 18, 2019 katika Mahakama ya Rufaa. Hayo yameelezwa leo Alhamisi na wakili wa Serikali, Wankyo Simon mbele ya hakimu mfawidhi, Kelvin Mhina...
No comments:
Post a Comment