Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetaka suala la kikokotoo liwasilishwe bungeni na lijadiliwe kwa hati ya dharura ili iwe sheria itakayomnufaisha kila mstaafu.Akizungumza na waandishi wa Habari katika ofisi za Makao makuu ya Chama hicho Waziri Kivuli ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Vijana na watu wenye Ulemavu Mh Ester Bulaya amesema pamoja na Rais wa Tanzania Dr John Magufuli...
No comments:
Post a Comment