Mbunge wa Kawe (Chadema), Halime Mdee ameitikia wito wa Polisi Kinondoni jijini Dar es Salaam aliotakiwa kufika leo Jumamosi Februari 23,2019. Mdee kupitia akaunti yake ya Twitter ameandika, “Nimepata wito wa kuitwa Polisi Oysterbay kwa mahojiano.Mpaka sasa sababu ya wito ni nini. Ngoja tujongee.”...
No comments:
Post a Comment