Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa kilio chao dhidi ya hoja ya kusimamisha malipo ya mshahara wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu iliyowasilishwa Bungeni. Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje, Tumaini Makene kupitia taarifa yake kwa vyombo vya habari amedai kuwa hoja hiyo ina nia ya chuki dhidi ya Mbunge huyo. Makene alidai kuwa hoja hiyo haizingatii...
No comments:
Post a Comment