Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa(TAKUKURU) imemkamata aliyekuwa mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu kwa mahojiano. Kamanda Polisi mkoani Singida Sweetbert Njewike amethibitisha. Nyalandu alikua kwenye zoezi la ‘Chadema ni msingi’ ambapo TAKUKURU walifika wakiwa na silaha na kumchukua kwa nguvu na kutokomea nae kusikojulikana....
No comments:
Post a Comment