Huawei Waamua Kuachana na Android....Watengeza Program Yao

Kampuni ya Huawei imeweka wazi jina la programu endeshaji mpya kwa ajili ya simu na vifaa vya kisasa vya kielektroniki ambayo itaanza kutumika badala ya Android. Mfumo huo wa Huawei-HarmonyOS unalenga kupunguza utegemezi wake kwa kampuni za Marekani. HarmonyOS utakuwa tayari kuwekwa katika skrini za samart kwenye bidhaa kama vile Televisheni, saa za smart , na magari baadae mwaka huu, amesema...
Read More

No comments:

Post a Comment