Muonekano wa basi hilo.
ABIRIA waliokuwa wakisafiri na basi la Kampuni ya Mohammed Trans leo lenye namba za usajili T 774 AWJ kutoka jijini Dar es Salaam kwenda Bukoba wamelalamikia basi hilo kuwa ni bovu.
Sehemu ya mlango wa abiria.
Mmoja wa abiria ambaye hakutaja jina lake alionyeshwa kukerwa na basi hilo akilalamika kuwa mpaka leo asubuhi majira ya saa 1 asubuhi walikuwa bado Kahama wakisubiri basi hilo…
No comments:
Post a Comment