HATIMAYE CHID BENZ APATA DHAMANA KATIKA KESI YA MADAWA YA KULEVYA
Chid Benzi akitoka lango la mahakama ya Kisutu.
...Akifungua mlango wa gari lililokuwa likimsubiri.
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Rashid Makwiro ’Chid Benz’amepata dhamana mapema hii leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kukamilisha taratibu zote za wadhamini wawili baada ya hapo jana kurudishwa rumande alipokuwa…
No comments:
Post a Comment