BABY MADAHA SITUMII KINGA HATA SIKU MOJA


Stori: Gladness Mallya
BAADA ya hivi karibuni Msanii wa Filamu na Muziki Bongo, Baby Madaha kusema ameamua kuwapanga wanaume, hivi sasa ameibuka na jipya na kudai kwamba huwa hatumii kinga ‘kondom’ hata siku moja.
Msanii wa Filamu na Muziki Bongo, Baby Madaha
Akipiga stori na paparazi wetu, Baby Madaha alisema kabla hajaanguka penzini na mwanaume lazima akapime kwanza Ukimwi na baada ya hapo ndipo mambo mengine yanaendelea hivyo akishahakikisha huyo…

No comments:

Post a Comment