Staa wa Filamu za Kibongo, Yvonne Sherry ‘Monalisa’ hivi karibuni aliweka wazi kuwa anatamani kuolewa lakini hajampata wa kumuoa.Monalisa alifunguka maneno hayo baada ya uvumi kuenea kuwa amepata mtu anataka kumuoa na mipango ya ndoa iko tayari.
“Mh! Wewe si wa kwanza kuniambia maneno haya jamani hivi yanatoka wapi? Mimi sijapata mtu wa kunioa jamani ila nikimpata nitaolewa kwa…
No comments:
Post a Comment