BINTI WA KIARABU ALEWA, AFANYA VIOJA


NA RICHARD BUKOS
POMBE si chai! Binti mrembo mwenye asili ya Kiarabu ambaye jina halikupatikana mara moja, amejikuta akifanya vioja baada ya kulewa chakari na kusababisha midume kumtolea udenda, Ijumaa Wikienda lilimpiga chabo.

Binti huyo ambaye hakufahamika jina lake mara moja akifanya yake.
Tukio hilo la aibu lilijiri kwenye onesho la Kundi la Mashauzi Classic ndani ya Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni jijini Dar ambapo lilikuwa likitambulisha albam yake mpya ya Sura Surambi, Sura Siyo…

No comments:

Post a Comment