BODABODA ACHINJWA KWENYE FUMANIZI



HATARI! Wimbi la mauaji yanayohusishwa na matukio ya mafumanizi yanazidi kushika kasi mkoani hapa ambapo mwishoni mwa wiki iliyopita dereva mwingine wa bodaboda aliyetajwa kwa jina moja la Kambi (33), anadaiwa kuchinjwa na kufa papohapo huku kifo chake kikihusishwa na matukio hayo.
Marehemu Kambi enzi za uhai wake.
Tukio hilo lilitokea juzikati majira ya saa 11:00 alfajiri ambapo mwili wa bodaboda huyo uliokotwa maeneo ya Modeko jirani na Makutano ya Barabara za lringa na Mazimbu na…

No comments:

Post a Comment