BODABODA KIBANONI POSTA


Polisi jamii wakiwa wamekamata Pikipiki.
KAMERA ya GPL imenasa tukio la dereva boda boda akiwa amekamatwa na polisi jamii, baada ya kuingia maeneo ya Posta, jijini Dar es Salaam, huku sheria zikiwa zimekataza kwa waendesha bodaboda kuingia au kufanya biashara maeneo ya mjini.
Posted by GLOBAL on November 22, 2014 at 4:07pm                        

No comments:

Post a Comment