DENTI UPADRI AAIBIKA GESTI


Stori: Gladness Mallya
Aibu kuu! Jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Leonard Celestine ambaye anasomea upadri, anayemalizia masomo ya falsafa (philosophy) mwaka wa tatu katika Chuo cha Jordan mjini Morogoro, anadaiwa kuaibika gesti, kisa kikiwa ni mke wa mtu gesti.
Bw. Leonard Celestine aliyeaibika gesti na mke wa mtu.
TUJIUNGE GESTI

Kwa mujibu wa shuhuda wetu, tukio hilo la aina yake lilijiri hivi karibuni kwenye Gesti ya Silver Inn iliyopo maeneo ya Msamvu mjini Morogoro…

No comments:

Post a Comment