LULU AHIFADHI NGUVU ZA KUJIFUNGUA


Stori: Hamida Hassan na Gabriel Ng’osha
MASTAA wana mambo! Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametoa kali ya aina yake kwa kusema kamwe hatumii nguvu nyingi kwenye mapenzi kwa sababu yanapoteza muda bila sababu za msingi bora nguvu zake azitunze hadi pale atakapokuwa akijifungua.
Mtoto mzuri wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akipozi.
Akimwaga cheche mbele ya mwanahabari wetu, Lulu alisema siku hizi wanaume wengi…

No comments:

Post a Comment