DIAMOND AKAMILISHA ‘TAKEU’ KWA MADEMU


Stori: Hamida Hassan

Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ amekamilisha ‘TAKEU’ kwa mademu baada ya kufanikiwa kutembea na mademu wanaosifika kwa uzuri kutoka Tanzania, Kenya na Uganda.
Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’.
Historia inaonesha dogo huyo kutoka Tandale aliwahi kufanya kazi na msanii mrembo kutoka nchini Kenya, Avril na ikadaiwa licha ya kukutana kikazi jamaa alimsaliti mpenzi wake wa enzi hizo, Penniel Mwingilwa.…

No comments:

Post a Comment