DIDA: EZDEN AKIOA, NITAANZA KUMCHANGIA!


Na Imelda Mtema

MTANGAZAJI mwenye maneno lukuki kutoka Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amesema kuwa endapo mtalaka wake, Ezden Jumanne akitaka kuoa yeye atakuwa wa kwanza kutoa mchango wa harusi hiyo.
Mtangazaji kutoka Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’.
Dida ambaye kwa sasa yupo singo, alisema japokuwa wameacha na Ezden, lakini hana bifu naye kwa sababu anaamini kuwa yuko katika harakati za kutafuta…

No comments:

Post a Comment