SABBY: BOB JUNIOR AMENIBADILISHA MAVAZI


Na Imelda Mtema

MSANII anayekuja kwa kasi katika tasnia ya Filamu Bongo, Sarbrina Omary ‘Sabby Angel’ amefunguka kuwa mwanamuziki, Rummy Nanji ‘Bob Junior’ ambaye kwa hivi sasa ndiye mpenzi wake amembadilisha mavazi yake aliyokuwa akivaa awali kabla hawajawa pamoja.
Msanii anayekuja kwa kasi katika tasnia ya Filamu Bongo, Sarbrina Omary ‘Sabby Angel’ akipozi.
Akizungumza na Amani, Sabby alisema kuwa mpenzi wake huyo mara nyingi anapenda ajitande nguo na kuwa mtoto wa Kiislamu kama asipokuwa…

No comments:

Post a Comment