Mganga aliyejita-mbulisha kwa jina moja la Kimweri ameibuka na madai mazito kuwa ndiye aliyemng’arisha staa wa kike wa Bongo Fleva, Meninah Abdukareem ‘Meninah La diva’ hivyo kutoa siri nzito ambayo wengi hawakuijua.
Staa wa kike wa Bongo Fleva, Meninah Abdukareem ‘Meninah La diva’.
Kwa mujibu wa chanzo makini, mganga huyo amekuwa akimfanyia ndumba msanii huyo…
No comments:
Post a Comment