HIVI NDIVYO TOHARA ZA KABILA LA KIKURYA ZINAVYOFANYIKA


Wanamwita "Dokta" wa kijiji cha Ryamisanga wilayani Butiama akiendelea na shughuli yake ya kumtahiri kijana kwa dakika 17 bila ganzi.Baadhi ya vijana ambao wameshatahiriwa wakimtizama mwenzao ambaye anafanyiwa tohara"Dokta" akijiandaa kuifanya kazi yake

No comments:

Post a Comment