Wote walikutana kwenye ndege wakitokea Africa ya kusini ambapo Diamond alikua ametoka kushoot video yake mpya na waje na Zari the boss Lady, binti tajiri kabisa nchini Uganda ambae pia ana makazi mengine nchini afrika kusini huku akimiliki chuo pia.Wawili hao walipiga picha kwenye ndege na walipotua Airport ya Dar , na wengi tukafikiri hii movie ndio imeisha kwani hata zari aliandika kwenye ukurasa wake wa instagram kwamba alikua na safari nzuri na Diamond na watu wasisambaze umbeya wa uwongo…

Kama anavyosemaga yeye mwenyewe Diamond , acha movie iendelee kwani ukweli ni kwamba safari haikuishia hapo huku wakati wema na penny wakimaliza tofauti zao siku ya Jana , Diamond alikua katika hoteli ya Double Tree , Masaki , akionekana kuenjoy company ya Boss lady huyu wa uganda.

Je , unadhani kuna lolote linaloendelea baina ya wawili hawa? tuache movie iendelee…
The post Diamond Platnumz : Acha Movie iendelee….. appeared first on Vibe Magazine TZ Tanzania.
http://www.tanzaniatoday.co.tz/

No comments:
Post a Comment