Ushaisikia hii ya Miss Bum Bum ?

Haya sasa zile ishu za sitti mtemvu zimeshaisha , watanzania mmempata miss mliyemtaka….Sasa unaonaje na sisi tukaanzisha shindano la miss Bum Bum , maana naona miss Tanzania imetushinda kwani huko nchini Brazil hili shindano ni maarudu sana ambapo hutafuta mrembo mwenye makalio mazuri kuliko wote nchini Brazil.
Miss-Bumbum-Brazil-Vibe-co-tz
Shindano hili ambalo lilianza na washiriki 22 sasa hivi limechuja washiriki wake na kubakia na washiriki 8 tu ambao ni hatarieee….Cheki hapa , je unadhani mshiriki gani aibuke mshindi?
Miss-Bumbum-Brazil--2-Vibe-co-tz
The post Ushaisikia hii ya Miss Bum Bum ? appeared first on Vibe Magazine TZ Tanzania.
http://www.tanzaniatoday.co.tz/

No comments:

Post a Comment