Wema na Penny wamaliza tofauti zao

Moja ya kitu kigumu sana katika maisha ni kua na kutokuelewana na mtu ambaye alichukua nafasi ya mpenzi wako na baadae wewe kufanya hivyo tena kwa kumpora mtu yule mpenzi huyo. Hapa naongelea kuhusu Wema Sepetu , Penny na Diamond Platnumz ambapo tokea Diamond Platnumz amuache Penny na Kumrudia Wema , Urafiki wa penny na wema ulizidi kuota miba lakini hii leo uadui wao ni historia kwani siku ya jana wote walialikwa kwenye birthday party ya rafiki yao dada jeniffer ambapo waliweza kuwekwa sawa na kupatanishwa. Je, unadhani hii movie imeisha au itaendelea?
Wema-Sepetu-Penny-wapatana-vibe-co-tz
The post Wema na Penny wamaliza tofauti zao… appeared first on Vibe Magazine TZ Tanzania
http://www.tanzaniatoday.co.tz/

No comments:

Post a Comment