KAJALA: NATAMANI KUPATANA NA WEMA


Stori: Imelda Mtema

SIKU chache baada ya mtangazaji Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’ kupatana na Beutiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu, mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’ naye ameibuka na kuweka bayana kuwa hata yeye yupo radhi na anatamani kupatana na Wema ambaye wameogelea kwenye bifu miezi kadhaa sasa.
Waigizaji wa filamu Bongo, Kajala Masanja ‘Kay’ na Wema Sepetu wakati wakiwa pamoja.
Kajala alifunguka hayo mara baada ya paparazi wetu kumuuliza kuhusiana…

No comments:

Post a Comment