MGAWO MALI ZA JIDE, GARDNER UTATA


Stori: Mwandishi Wetu

HALI tete! Bado vuguvugu la madai ya kuvunjika kwa ndoa ya mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Fikirini Habash ‘Kapteni’ na Mbongo Fleva, Judith Daines Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee au Jide’, sasa lingine limeibuka ambapo mali za wawili hao zinatajwa kuzua utata, Risasi Jumamosi linachambua.
Mbongo Fleva, Judith Daines Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee au Jide.
Kwa mujibu wa chanzo cha ndani, Gardner ameshapeleka hati ya kesi kwa mwanasheria wake…

No comments:

Post a Comment