Theluji iliyoanguka siku ya Jumanne kuamkia
Jumatano mji wa Baffalo jimbo la New York theluji iliyokanguka ilifikia futi 5
imesababisha vifo vya watu watano, wawili kati yao wamepoteza maisha kutokana na
ajali za magari yao kuseleleka na wengine watatu wamekufa kutokana heart Attack.
Pichani ni mkaazi wa Baffalo akijaribu kuparua theluji hiyo kabla haijaganda na
kuwa barafu.
Theluji ilivyotanda kwenye barabara mitaa ya
Baffalo, jimbo la New York.
Magari ya kukwangua theluji yakiwa kazini mji
wa Lancaster, New York
Mji wa Grand Rapids, Michigan, ukiwa umemezwa
na theluji
No comments:
Post a Comment